Tekno Ameogopeshwa na Comment Za R.I.P Kutoka Washabiki Wa Tz



Msanii kutoka Nigeria Anaetamba na Kichupa Cha DURO na WASH  Tekno amekerwa na comments za mashabiki kutoka Tanzania kuhusu urafaki wake na mwigizaji Lulu.
        Staa huyo wa muziki kutoka Nigeria Tekno ameonekana kukerwa na comment za Rest In Peace za mashabiki wa Tanzania kwenye kurasa yake ya Istagram.
Tekno anasema watu hawana haki ya kuhukumu maisha ya Lulu na kwamba sio sawa watu kuandika RIP kwenye kurasa yake.
Tekno ameonekana kutoshangazwa na taarifa za baadhi ya wapenzi wa Lulu kufariki.
 11055595_836375646419073_35542390_n

Source fahamutv.com
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment