Davido Na Sophia Wayafunika Ya Chumbani...


Ugomvi kati ya Davido na mama mtoto wake Sophia Momodu umekwisha. Ugomvi huu ulisababishwa na maneno makali kutoka kwa uncle wake Sophia anayefahamika kama Dele Momodu.
Awali Dele alimtuhumu Davido kuwa amechonga njama za kumtorosha mtoto wake nje ya Nigeria.
Familia hizo mbili zimefanya mkutano mkubwa na kukubaliana kuwa hawata gombana tena mbele za watu au kutumia mitandao kugambana.
Mkutano ulihuthuriwa na Sophia,baba mzazi wa Davido Deji Adeleke, Bwana na Bibi Dele Momodu na wakili wao. Sophia Momodu pia amepewa haki za kumtembelea mtoto wao anayeishi na dada yake Davido ‘Ashley Adeleke’
Source;   fahamutv.com
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment