Hii nyumba ya msanii wa bongo fleva Madee ambaye alianza kuijenga miaka kama miwili iliyopita kupitia pesa ya muziki.
Madee anasema sababu ya kuonyesha nyumba yake ni kuwapa hasira vijana wadogo kuwa lazima wajitume kuwa na maisha kama yake.

0 comments:
Post a Comment