Mwanamuziki anaye kimbiza kwenye miondoka ya Rn'B, Ben Poul, amedai kuwa
ndevu zake ambazo aliziwekea hina upande mmoja aliamua kuzinyoa kwa
kuhofia kuonekana kuwa yeye ni mmoja wa wanamgambo wa makundi ya
kigaidi.
Ben Poul ameyazungumza hayo alipo fanya mahojiano ndani ya Friday Night
Live, show inayorushwa na East Africa Television nakusikina kupitia East
Africa Radio, ambapo amesema deal la kufanya kazi na Wamerekani alipo
lipata lilimsababisha anyoe ndevu zake ambazo zilisha kuwa kubwa na
kudhani angeonekana mmoja wa washirika wa ugaidi ikiwemo kundi la Al
Qaeda.
Mara ya Mwisho Ben Pol alipo hudhuria kwenye show ya Friday Night Live alifunguka kuwa ameamua kuwekea ndevu zake hina kwakuwa hana wazo la kusuka wala kujichora tattoo hivyo kwake itakuwa nikama kitambulisho chake. Ila kwa sasa ameamua kuzibadilisha na kuwa kawaida.

Source: tubongetz

0 comments:
Post a Comment