Pep Guardiola Hanamapenzi Na FC Bayern Munich

pep guardiola 
Mkongwe wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Lothar Matthaus amebidi aweke wazi anachofikiria kuhusu kocha wa sasa wa klabu hiyo Pep GuardiolaMatthaus amekiri kuwa na mashaka na upendo wa kocha huyo kwa klabu ya FC Bayern Munich.
Mashaka ya staa huyo wa zamani wa FC Bayern Munich Matthaus yamekuja kutokana na Pep Guardiola kutangaza kuwa ataondoka ndani ya klabu hiyo mwisho wa msimu na kujiunga na Ligi Kuu Uingereza, suala ambalo linamtia shaka kuwa kocha huyo atakuwa na wakati mgumu katika kumalizia miezi yake mitano ndani ya Bayern na hakuwa na upendo na klabu hiyo.
 
Hafikiri kama kulikuwa na upendo kati ya FC Bayern Munich na Pep Guardiola kutoka na kuweka wazi mpango wake huo, lakini anataja kuwa uamuzi huo  utamfanya Guardiola kupewa attention kubwa “Guardiola anaweza kuongea lolote apendalo, mipango yake na kikosi cha Man City itakuwa kaipa kipaumbele kuliko ya FC Bayern, hakukuwa na upendo wa kweli kati ya wachezaji wa Bayern na Pep Guardiola”... Matthaus
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment