Baada ya Diamond Platnumz kumtakia Heri ya kuzaliwa Mshidi wa Big Brother Idris Sultan na kuzua maswali mengi sinto fahamu kwa mashabiki wa pande zote mbili, Idris ameamua kujibu mapigo
"hahahha mtoto wa Abdul nashukuru nataka nikizeeka niwe kama wewe" Idris


0 comments:
Post a Comment