Post ya Diamond Platnumz kuhusu kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa mshkaji wake Idris Sultan ime make headlines kwenye mitandao ya kijamii.
Jambo hili limeshtua wengi ambao wanajua kuwa Wema aliwahi kuwa na
Diamond Platnumz na sasa anategemea kuwa na mtoto na staa wa big brother
Idrs Sultan.

0 comments:
Post a Comment