
Staa wa bongo fleva Ommy Dimpoz ameongelea
video yake mpya nakusema wimbo wa Achia Body haukuwa kwenye foleni ya
kutoka ila baada ya kuikubali video aliamua kuitoa.
“Wimbo wa Achia body haukuwa kwenye foleni ya kutoka ila
nilitambulishwa kwa director mchanga nchini Afrika Kusini na
nilivyofanya naye video ilikuwa powa na nikaikubali ndio maana sikuona
sababu ya kuibania, hata wasanii wenzetu wanatoa kila video
wanayofanya”.
Ommy amethibitisha ujio wa nyimbo nyingi zaidi mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment