Msanii wa Bongo Fleva Baraka Da Prince
ameongelea kuchelewa kwa video ya wimbo wake aliofanya na Ruby ‘Vumilia’
nakusema kunauwezekano isifanyike.
Baraka anasema “Wimbo wa Vumilia
nilifanya kwenye usimamizi tofauti na nilionao kwa sasa so niliona
italeta matatizo tena na watu kuongea zaidi ndio maana sijaifuatilia,
kuna uwezekano wa kufanyika ila mpaka tufanye maongezi, ndio maana
nimetoa video ya wimbo mwingine“.Baraka Da Prince ametambulisha video ya wimbo wa ‘Siwezi’ iliyotayarishwa na Kevin Bosco wa Kenya.

0 comments:
Post a Comment