Team Wema Waangusha Vicheka Ujauzito wa Wema Sepetu


Ujauzito wa Mrembo wa Bongo Asiyeishiwa na Skendo hatimae waanza kuonekana wazi wazi kitu ambacho kimewafurahisha Team Wema Sepetu baada ya boss huyo wao kushutumiwa kuwa ni mgumba kwa muda mrefu...
Share on Google Plus

About Unknown